

Prezzo, Avril na Mwana FA walikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza jana kwenye Pool Party iliyofanyika Regency Park Hotel jijini Dar es Salaam. Wasanii hao walitumbuiza huku baadhi ya watu waliohudhuria wakiendelea kuogelea kwenye swimming pool ya hoteli hiyo iliyopo maeneo ya Mikocheni B.
Prezzo kwenye stage[/caption]

Pool Party iliandaliwa na SK Entertainment na Unity Entertainment.



Mwana FA


Kelma kutoka Kenya

Kelma



Avril akiwa kwenye stage



Mtangazaji wa Mashariki Mix ya MNET





From:bongo5
No comments:
Post a Comment